Antenna anayo? Tuanzie hapo kwanza.Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Hata mi nimeshangaa,hiyo age 🤔Nimehuzunika sana at 35 years old bado kichwani uko sawa na 18 years old boy
Naona hapo kuna shangazi na baba shangaziKatika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Antena sio vyangu mkuuAntenna anayo? Tuanzie hapo kwanza.
Kwan mkuu huwezi toa ushauri tu vizuri kama wadau wengine hapo juu mkuu🙏Naona hapo kuna shangazi na baba shangazi
Ananiambia yeye na mzazi mwenzie wameachana miaka mingi mno toka mtoto ana miwili ni kama miaka 17 hivi imepitaMa
Majanga hayooo oho shtuka ww,,maradhi mengi saiv
Unapotea, think twiceAntena sio vyangu mkuu
Kwa umri wako na wake hamna tofauti wote nyie ni mashangazi tuu.Nyau nyie!!Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Nyege zikiisha hutaacha kuona rangi zoteKatika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
leta hoja manKaka ume nizidi umri mbali Sana, ila bado una mambo ya kingese Sana.
Kwa umri wangu na hustle zangu nime kuacha mbali mno, ila bado nina taka zaidi na zaidi.
Nahisi niki fika hiyo 30, Forbes wata kuwa wamesha niweka kwenye jarida lao.
Mwamba ni mtoto wa miaka 35Hata mi nimeshangaa,hiyo age 🤔
Bro mbona ume wadharau hao ma 18, maana huyu ni zaidi ya whack whackNimehuzunika sana at 35 years old bado kichwani uko sawa na 18 years old boy