Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

We babu kwahiyo unajiona kibenten 😹😹
Watu mnapenda utoto msokuwa nao chaaahh..!! 🤣

Huyo agemate wako sema yeye kawahi kutoboa kimaisha..!! Nyie bebaneni mmalizie uzee wenu salama…!!
Utoto kivipi miaka 30+ ni wazee na kina Grahams wasemeje
 
Unajua Grahms mko sawa ni vile anajipa uzee kaona 35 ni age ya mtu anayejitambua..!!

Kwahiyo bado unajiona mtoto?😹😹
We kweli hamnazo hata 90s hawana upuuzi km wako..!!
🤣Shenzi mara tatu watu wazima ni kaka zetu wa kuanzia 1978 ujue mtu wa 78 sahv ana miaka 47 Huyu Sasa ndo mzee kijana
 
Vijana wa kiume ushamba unazidi sasa kila kitu mpaka usimulie hapo mwenyewe unaona sifaa
 
Huyo ni age mate wako tu
Utashangaa ukimuona wewe ndio ukawa mzee kuliko yeye
 
Mambo ya watu wa 20`s sasa huyu mzee wa miaka 35 umri wa kuitwa babu kabisa :BoneZone: :BoneZone:
Sasa mtu aliyekuzidi miaka 3 ushangazi unatokea wapi?
Kwa mfano angekua ni kijana wa 25 alafu ni binti wa miaka 29 mwenye mtoto mwenye miaka 25 akimuita mshangazi anakosea?
 
Mambo ya watu wa 20`s sasa huyu mzee wa miaka 35 umri wa kuitwa babu kabisa :BoneZone: :BoneZone:
Sasa mtu aliyekuzidi miaka 3 ushangazi unatokea wapi?
Mkuu kwa Miaka 35 na Mwanamke mwenye miaka 39 hapo lazima Mwanamke ataoneka Mkubwa sana. Na ata kutoka out pamoja Mwanaume ataona aibu, Mimi nilipata Mwanamke alikua na Miaka 36 na mimi nilikua na Miaka 38 sasa tukuja kwenye Muonekano Mimi nilionekana Mdogo sana kwake yani tukitembea njia tunaoneka mtu na Mama yake mdogo.
 
Ananiambia yeye na mzazi mwenzie wameachana miaka mingi mno toka mtoto ana miwili ni kama miaka 17 hivi imepita
Mkuu Usihamie kwake utaushi kwa unyonge na kukosa Amani na Ukilala roho itakua inarukaruka kwa kukosa Amani, na ukute ndiyo anaishi na wapangaji wenzake hapo ndipo utakua unaigia kwake kwa kujificha na kutoka kwa kuvizia wapangaji wasikuone, Na jamii itakudharau itakuona dhaifu kwa kulelewa na Mwanamke.
 
Kumbe siku hizi wenye miaka 30 na kidogo ni mishangazi naumia sanaa nimezeeka mim 😭😭😭😭😭😭
Ndiyo ni mishangazi kama umeshazaa na una mwili wa Wamama. Uvai tena jinsi
 
Back
Top Bottom