Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Huyo siyo shangazi yako.
Hapana ukiwa mbali naye inaleta appetite. Anachokitaka kwako ni faraja. Ndan ya mwez mmoja hiyo hamu ya faraja inaisha, endpo utakubali kukaa naye karibu.Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Ni kweli mkuu yeye kapanga, kwo nikienda kwake kitu nitakachokua namzidi tu ni kumiliki gari mkwecheMkuu Usihamie kwake utaushi kwa unyonge na kukosa Amani na Ukilala roho itakua inarukaruka kwa kukosa Amani, na ukute ndiyo anaishi na wapangaji wenzake hapo ndipo utakua unaigia kwake kwa kujificha na kutoka kwa kuvizia wapangaji wasikuone, Na jamii itakudharau itakuona dhaifu kwa kulelewa na Mwanamke.
Ulishawahi ishi manyaraKwa location iyo nenda tu pia utapata fulsa mpya y bznes kiongozi.
KAZI ni kipimo cha utu
Mkuu Usihamie kwake utaushi kwa unyonge na kukosa Amani na Ukilala roho itakua inarukaruka kwa kukosa Amani, na ukute ndiyo anaishi na wapangaji wenzake hapo ndipo utakua unaigia kwake kwa kujificha na kutoka kwa kuvizia wapangaji wasikuone, Na jamii itakudharau itakuona dhaifu kwa kulelewa na Mwanamke.
Unaongea kinyume nyumee 😁😁Bora wewe una kunywa uji, mi nakuna vuzi.
mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, Forbes lazima wamjue jobless pro max 😂 🤣
Jau tu mwanangu 😁 😂Unaongea kinyume nyumee 😁😁
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Na je kijana akiwa na miaka 25 alafu mwanamke miaka 29🤣Ila amezaa huyo siyo mshangazi?Wewe una 35 yeye 39
Difference ya miaka 4 huwezi kum-term kama mshangazi
Mshangazi ni kuanzia third floor Tena awe na titi kweli, Tako kweli na tumbo kweli au limwili flani la kishangingiNa je kijana akiwa na miaka 25 alafu mwanamke miaka 29🤣Ila amezaa huyo siyo mshangazi?
39 kwa 35 ni gap kubwa sana Ebu mchukulie kusaga na Samia tofauti yao ni miaka 6 Samia kazaliwa 1960 Ila kusaga 1966 kwanini mzee kusaga asimuite Samia shangaziwe nae umevurugwa kweli mshangazi ni umri wetu ndo tunafaa kuwaita age hiyo mshangazi sasa wewe si mnalingana tuu mtu na mdg wake
i39 kwa 35 ni gap kubwa sana Ebu mchukulie kusaga na Samia tofauti yao ni miaka 6 Samia kazaliwa 1960 Ila kusaga 1966 kwanini mzee kusaga asimuite Samia shangazi
Njoo pm tu bonge mzee ile project yetu ya podcast iilishia mkuu wangu njoo tuyajenge kaka angu mkubwaMshangazi ni kuanzia third floor Tena awe na titi kweli, Tako kweli na tumbo kweli au limwili flani la kishangingi
Anamuita dada sio shangazi we vip Sasa kama Samia namuita bibi why Huyu nisimuite shangazi
Nimeshangaa eti mwanaume wa 35 nae anasema eti kapata mshangazi 😅 😅Kumbe siku hizi wenye miaka 30 na kidogo ni mishangazi naumia sanaa nimezeeka mim 😭😭😭😭😭😭