Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Kaka ume nizidi umri mbali Sana, ila bado una mambo ya kingese Sana.

Kwa umri wangu na hustle zangu nime kuacha mbali mno, ila bado nina taka zaidi na zaidi.

Nahisi niki fika hiyo 30, Forbes wata kuwa wamesha niweka kwenye jarida lao.
Ktk ubora wako 😊
 
Kumbe siku hizi wenye miaka 30 na kidogo ni mishangazi naumia sanaa nimezeeka mim 😭😭😭😭😭😭
 
Zingatia mambo haya 1. Asiwe na ukimwi
2. Awe na chura
3. Awe na akili
4. Asiwe na mtoto
N.b pesa mtatafta wote akiwa na pesa atakunanyasa
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Upo sawa lakini mzee mwenzangu kwa huo umri wako si vyema kuandika hapa Hilo suala ni kama unakuza kitu flan
 
Kwamba una miaka 35 then unamuita mama wa miaka 39 kuwa ni mshangazi !?


Hapo nyie wote ni maajuza 😁😁😁
 
Kama yeye miaka 38 unamwita mshangazi, usishangae mtu wa miaka 33 akakuita mbabu.
 
Tangaza biashara yako ya tende na ujugu
Hayo mambo umeyakuta hayo mambo utayaacha
 
Unaenda kudanga kwa mzee mwenzio au sio.....

Wewe na huyo ni age mate sio mshangazi kwako, ila kakuzidi akili.
broo...dogo anatoka mjini anaenda kijijini kuyanza maisha kwa mwanamke huyu ataishia kunywa mataputapu wallah
 
We babu kwahiyo unajiona kibenten 😹😹
Watu mnapenda utoto msokuwa nao chaaahh..!! 🤣

Huyo agemate wako sema yeye kawahi kutoboa kimaisha..!! Nyie bebaneni mmalizie uzee wenu salama…!!
 
Kaka ume nizidi umri mbali Sana, ila bado una mambo ya kingese Sana.

Kwa umri wangu na hustle zangu nime kuacha mbali mno, ila bado nina taka zaidi na zaidi.

Nahisi niki fika hiyo 30, Forbes wata kuwa wamesha niweka kwenye jarida lao.
Raisi umemua kuvunja ukimya Leo duu jarida la Forbes magazine. 😅🤣

Ngoja hapa nichukue sadoline yangu ya uji usio na sukari ninywe kusogeza SIKU 👋
 
Back
Top Bottom