Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Bora umeniita mkuu. Sikujua kama kuna mtu mpuuzi anatumia ID yangu
Bora umeniita mkuu. Sikujua kama kuna mtu mpuuzi anatumia ID yangu
Hii ni mara ya 2 i guess. Imetoka hiyoBora umeniita mkuu. Sikujua kama kuna mtu mpuuzi anatumia ID yangu
Wewe ni Mbaba mnakutana na Mshangazi, ni age-mate wako.Povu ruksa
Hii ni mara ya 2 i guess. Imetoka hiyo
anazingua huyu, bado ana uvulana kichwaniJamaa ana umri sawa na muda khamenei amekuwa supreme leader wa Iran lakini bado anajiona kichanga
Mwanamke mwenye anaweza kukuzaa ( hapo amekuzidi angalau miaka 13 au 14 maana mwanamke wa umri huo ana uwezo wa kuzaa) sasa miaka 3 ushangazi huo wa damu au?Tukubaliane mshangazi unatakiwa uwe umempita kijana miaka mingapi tuseme kijana ana 20
Kabisa maana hapo hakuna ushangazi...We malizia maisha na mzee mwenzako
🙌Shangazi na mjomba.
Kitendo cha kuhamia kwake maana yake umepokonywa ile power ya uanaume, utafanyiwa vitimbwi na hautakuwa na la kufanya.Bring critical reason mkuu
Au nasema uongo
Kibongo bongo huyo ni mshangazi au mwanadada?Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Ubora upi?, ubora wangu una ujua!Ktk ubora wako 😊