Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Miaka 35? wewe nduku kwel
 
🤣Shenzi mara tatu watu wazima ni kaka zetu wa kuanzia 1978 ujue mtu wa 78 sahv ana miaka 47 Huyu Sasa ndo mzee kijana
Wewe mjomba bhana na huo mshangazi wote nyie magazeti ya jioni..!! 😹😹
 
Mambo ya watu wa 20`s sasa huyu mzee wa miaka 35 umri wa kuitwa babu kabisa :BoneZone: :BoneZone:
Sasa mtu aliyekuzidi miaka 3 ushangazi unatokea wapi?
Tukubaliane mshangazi unatakiwa uwe umempita kijana miaka mingapi tuseme kijana ana 20
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Miaka 35 hata kwenye ujana umeshapita wewe sasa ni mtu mzima kwenda kulelewa huo ni ujinga, ina maana hata akitokea mbaba mwenye hela akitaka kukuweka kinyumba unaweza kukubali.Wewe tunakuhesabia siku tu utapakwa futa
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Pumbavu kabisa
 
Wewe mjomba bhana na huo mshangazi wote nyie magazeti ya jioni..!! 😹😹
Kwani Unaijua sura yangu vizuri ukiniona Ata Nikisema Nina miaka 22 huwezi kataa mimi ni mtu wa mazoezi sana sijachoka choka
 
Ni kweli mkuu yeye kapanga, kwo nikienda kwake kitu nitakachokua namzidi tu ni kumiliki gari mkweche
Kapanga? Wewe nawe sasa mdananda 😹😹

Hapo wote mnadangiana agemate mwenzio anakuvutia kwa karibu umsaidie kulipa kodi 🤣
 
Swala la kusema ni agemate Ebu acha hzo kipindi Nina Miaka 25 kutongoza mdada wa 22 anasema yeye ni mkubwa nitafute watoto wa miaka 18 17 16 ety Leo tupo kwenye 30 ndo useme tunalingana how come?
 
Back
Top Bottom