Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Kwani Unaijua sura yangu vizuri ukiniona Ata Nikisema Nina miaka 22 huwezi kataa mimi ni mtu wa mazoezi sana sijachoka choka
Ila we jamaa kuna nati imelegea kichwani au umeme mdogo…!! 😹😹😹

Haya mjomba nenda ukaishi na shangazi huko manyara vijijini..!!
 
Ila we jamaa kuna nati imelegea kichwani au umeme mdogo…!! 😹😹😹

Haya mjomba nenda ukaishi na shangazi huko manyara vijijini..!!
Umeme una uhusiano gani 🤣Pumbafu
 
Swala la kusema ni agemate Ebu acha hzo kipindi Nina Miaka 25 kutongoza mdada wa 22 anasema yeye ni mkubwa nitafute watoto wa miaka 18 17 16 ety Leo tupo kwenye 30 ndo useme tunalingana how come?
Nyie agemate mliopigwa na maisha, hapo kila mmoja anataka apate unafuu kwa mwenzie..!!

Vibenteni vitoto vya 2005 kupanda juu, wengine wote kwa umoja wetu ni wahenga ndo sembuse wewe wa 1989?!! Wewe si umezaliwa kipindi bado Mwinyi rais 😹🤣🤣
 
Kaka ume nizidi umri mbali Sana, ila bado una mambo ya kingese Sana.

Kwa umri wangu na hustle zangu nime kuacha mbali mno, ila bado nina taka zaidi na zaidi.

Nahisi niki fika hiyo 30, Forbes wata kuwa wamesha niweka kwenye jarida lao.
Tutakuwepo
 
Jitahidi sana unapokuwa kwenye hiyo nyumba usiache kuwa karibu na KY lolote laweza kutokea muda wowote.

Wanawake sio kiumbe wa kunwamini 100%
Chapa ilale.
 
Mmekaribiana miaka halafu unamuita mshangazi! Mshangazi lazima ukuzidi miaka kuanzia ishirini na kuendelea
 
Nyie agemate mliopigwa na maisha, hapo kila mmoja anataka apate unafuu kwa mwenzie..!!

Vibenteni vitoto vya 2005 kupanda juu, wengine wote kwa umoja wetu ni wahenga ndo sembuse wewe wa 1989?!! Wewe si umezaliwa kipindi bado Mwinyi rais 😹🤣🤣
Kwahyo 2000-2004 nao ni wakubwa 😂wenzako Ebu acha urongo
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Huna akili
 
Unatafuta kutuaibisha wanaume wenzio. Make sure una kwako na una biashara au ajira yako. Mwanamke akikuzidi uwezo wa kipesa tu anakuvuruga ubongo, je ukiwa unakula vyake na kuishi kwake? Kwanza kama ana mabroo wanaakili watakufukuza maana ni aibu kwao endapo dada yao akikuoa. Usijaribu
 
We ni msengerema kweli una miaka 35 na dada wa watu 39 halafu unamuita Mshangazi!? wewe utakuwa nani!? WE NI MJUBA KWA UMRI HUO...
ACHA DHARAU WE NI BABU...UNGEKUWA NA MIAKA 20/21 SAWA UNGEMUITA HUYO WA MIAKA 39 MSHANGAZI
 
Back
Top Bottom