hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
ongea wew mkuu ..watu wanatozwa ushuru wakuingia humu ndani kila siku .Massa na dakika..lakini hela zetu sijui zinapelekwa wapi ..wakati eneo husika linafanana na tandale kwa mfuga mbwa..bado pesa wanayokata SUMATRA kwa magari yote yaendayo mikoani...yaani bila hata haya wameamua kuiacha uchi terminal kubwa kama hiyo pasipo kuitengeneza vyema nakuipa heshima yake stahiki kutokna na hadhi ambayo inayo...yaani hiyo ndio stand ya east Africa kama usemavyo nandio kioo cha wageni wetu kututazama ili kuweza kutujua watanzania niwatu wanamna gani ..so wanaposafiri kutoka huko watokako kisha wakifika hapo nakukutana na mazingira kama hayo tunajitukanisha mnooo...taifa zima linaonekana nilawatu wachafu..sababu tu wamuonekano mbaya wahilo eneo muhimu kwa taifa....
ngoja nifuatilie VISA mimi nisepe ...mamaeee
ngoja nifuatilie VISA mimi nisepe ...mamaeee