Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

Management mbovu ni tatizo kubwa tanzania na africa kwa ujumla!!! ...naisubiri kwa hamu stendi mpya ya msamvu itakavyokuwa baada ya miaka mitano yangu macho
Msamvu haipo Africa?
 
Aibu mbele ya pesa?
 
 
Ujenzi wa kituo cha mabasi ya mikoani Mbezi unaendeleaje?
 
UNGEENDA NA BAJAJI HIZI KELEEE ZISINGEKUWEPO
 
 
Stand ya ubungo ni takataka kabisa sijui watawala wanawaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…