Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

Kuna Watu wanafiwa na dk hiyo hiyo wanapiga ukunga. Huyu kafiwa na kuwakumbuka watu wake humu JF. Turespect hii taarifa yake kwanza mengine yatafata.
 
Mungu akusimamie na akupe ujasiri wa kumsitiri Mtoto wetu! Pole kwako na Shemeji kwa msiba mzito. #WafuHawafiTenaBaliTulioHai Siku moja tutaungana na mwanetu
 
Nimeipenda hii

Mfiwa pole sana,Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Umepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Haina tofauti na kuchukua simu yako kuwapa taarifa ndugu na jamaa, hivyo sijaona huo ugumu labda kwa vile kichwa chako maji ndio maana umecoment upumbavu
 
Pole sana Mdau! Mungu awafariji wapendwa! Mliopo Morogoro mshiriki jamani.
 
Habar ya usiku huu,

Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.

Msiba upo Morogoro mjini forest KILEKA
Polee sana mkuu maelekezo vizuri nihudhurie kwa kijana wetu! Polee sana rafiki mungu akutie nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…