Nimepata mtoto wa kiume

Hongera.ila namuonea huruma maana atakua karithi uzwazwa wako.
 
Mungu ni mwema.

Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.

Mama na mtoto ni wazima.

Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.

Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Muite JPM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…