tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hongera sanaMungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.