Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 31
Habari wanajukwaa!
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimepata nafasi ya kwenda nchi za ufalme wa united kingdom(Uingereza) kwa ajili ya mkutano wa kidini kupitia shirika la huko Uingereza.. Ila sasa me nilitaka nikifika nifanye utaratbu wa kuomba kibali cha kuishi na kufanya kazi huko. Je, ni njia zipi inatakiwa nizifate nikiwa huko kwa malkia ili nweze kufanikisha jambo jambo hili!
Nasubirini Ushauri wenu wanajukwaa
Note: ID name isiwe chanzo cha kuninyima Ushauri mana kila mtanzania ana haki ya kuchagua akipendacho katika siasa😎