Unaomba ukimbizi kama Asylum seeker kwa ajili ya protection. Kuna vigezo ambavyo lazima uwe navyo ili kuthibitisha na kuhakiki maombi yako yakubaliwe.
Kama upo Kigoma Kuna mashirika kama UNHCR, IRC( International Rescue Commitie) na
IOM(International Organization for Migration) na mengineyo watakusaidia pia sio lazima uwe huko Kigoma pitia website zao utapata contact zao.
Kama wewe ni activist unafanya harakati za kisiasa na unatumia social media kama X, Facebook na nyinginezo unaweza ukapata akaunti ya shughuli zako kama mwanaharakati ambazo zitasaidia kama evidence.
Kuna kipindi cha CUF vs CCM watanzania wengi wa visiwani hasa wapemba waliomba hifadhi ya ukimbizi nje ya nchi.