Nimepata nafasi ya kwenda kwenye conference UK, Je nifanyeje niweze kubakia huko mazima?

popote ili mradi uwe na ka cheki ka kuhudumia wazee. ingia youtube kuna tips kibao. wanaija wanchangamkia sana fursa hzo cozi wanapiga online... application wanafanya online interview online.... ingia youtube mkuu...
Kwahiyo hii naomba nikiwa nmeshaingia Uk au nkiwa uku Tanzania
 
Habari wanajukwaa!

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimepata nafasi ya kwenda nchi za ufalme wa united kingdom(Uingereza) kwa ajili ya mkutano wa kidini kupitia shirika la huko Uingereza.. Ila sasa me nilitaka nikifika nifanye utaratbu wa kuomba kibali cha kuishi na kufanya kazi huko. Je, ni njia zipi inatakiwa nizifate nikiwa huko kwa malkia ili nweze kufanikisha jambo jambo hili!

Nasubirini Ushauri wenu wanajukwaa

Note: ID name isiwe chanzo cha kuninyima Ushauri mana kila mtanzania ana haki ya kuchagua akipendacho katika siasa😎
Ongea na Mshana Jr akupe tunguli lake ukifika huko unakuwa Invisible agent .
 
Habari wanajukwaa!

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimepata nafasi ya kwenda nchi za ufalme wa united kingdom(Uingereza) kwa ajili ya mkutano wa kidini kupitia shirika la huko Uingereza.. Ila sasa me nilitaka nikifika nifanye utaratbu wa kuomba kibali cha kuishi na kufanya kazi huko. Je, ni njia zipi inatakiwa nizifate nikiwa huko kwa malkia ili nweze kufanikisha jambo jambo hili!

Nasubirini Ushauri wenu wanajukwaa

Note: ID name isiwe chanzo cha kuninyima Ushauri mana kila mtanzania ana haki ya kuchagua akipendacho katika siasa😎
Kwa hiyo hutiki tena mjukuu wa chura kiziwi???🐸🐸😂
 
Back
Top Bottom