Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Mkuu mm ni wa Kanda ya ziwa. Na icho ndo kinywaji chetu pendwa hasa sisi wavuvi
Wapenda boli/kandanda/kipute/soka/michuano/kabumbu/mpira tunasema imegonga anapotamia kuku.... Tule vitu mkuu[emoji482][emoji482]
 
Katika yale aina ya maswali tuliosoma for 3 C kuna maswali chonganishi pia. Hili ni moja wapo. By the way, my wife said the last trip we went mtoto alipata tabu sana kwa hiyo yeye nasafiri tena mpaka angalau mtoto afike 2 years. Got it???
Nikukumbushe tuu hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke,ipo siku utamtafuna tuu
 
Ahsante mwenzetu kwa nasaha zako. Nitaahakikisha sipotezi sifa zangu njema
 
Hapo unasema padri ila utakuwa unajua papuchi kama vile ulisoma Masters ya papuchi development in different colours.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…