FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Hahahahhahahha mfano vyuma vya jiwe ni prolonged[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooook. Usiniulize kwa nini teh.
Prolonged ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhahahha mfano vyuma vya jiwe ni prolonged[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooook. Usiniulize kwa nini teh.
Prolonged ni nini?
Hahahahhahahha mfano vyuma vya jiwe ni prolonged[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakataa baba yetu si huyu Mtukufu mkuu?Why?? We are sooo different you can't imagine
Ewaaaaa nina balami apa mkuu... Samahani kama hutumiiMuendelezo wa vyuma mkazo
Maisha mamitoKumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mm ni wa Kanda ya ziwa. Na icho ndo kinywaji chetu pendwa hasa sisi wavuviEwaaaaa nina balami apa mkuu... Samahani kama hutumii
Kuna kijana wangu mstaarabu mmoja ameniambia wewe mkorofi umemfungia PM eti ni kweli??Rafiki wa rafiki hawezi kuwa rafiki yangu.
Nataka wangu mwenyewe. Au haujui urafiki una wivu?
Ahsante mtu wangu. Are you alright by the way??hongera mkuu , kila rakheri katika urafiki wenu
Wapenda boli/kandanda/kipute/soka/michuano/kabumbu/mpira tunasema imegonga anapotamia kuku.... Tule vitu mkuu[emoji482][emoji482]Mkuu mm ni wa Kanda ya ziwa. Na icho ndo kinywaji chetu pendwa hasa sisi wavuvi
Nikukumbushe tuu hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke,ipo siku utamtafuna tuuKatika yale aina ya maswali tuliosoma for 3 C kuna maswali chonganishi pia. Hili ni moja wapo. By the way, my wife said the last trip we went mtoto alipata tabu sana kwa hiyo yeye nasafiri tena mpaka angalau mtoto afike 2 years. Got it???
Ahsante mwenzetu kwa nasaha zako. Nitaahakikisha sipotezi sifa zangu njemaMkuu hongera sana kwa kupata rafiki na pongezi kubwa sana kwa kutoa taarifa,................ huo ni ungwana wa hali ya juu sana,.......................kwani hata rafiki atasikia raha akiona jinsi ulivyomfurahia,....................................binafsi nimejifunza kitu kwako..........................................................wewe ni mtu mstaarabu sana,........................endelea hivyo hivyo.......................................
Wasalaam
Mwenzetu
yes, am good mkuu, msalimie rafiki yakooAhsante mtu wangu. Are you alright by the way??
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hapo unasema padri ila utakuwa unajua papuchi kama vile ulisoma Masters ya papuchi development in different colours.
Hahahaahahahaha. Kabisa aiseeeeHahahhaha jua la alasiri hili mkuu hata halijaanza kupoa bado
Huyu muogope sana tenaaaaMi naogopa