Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Bado mzaee!

Na hatuna haraka maana we are friends na tunawasiliana tu fresh
Duuh...! yaani hamjakutana ndio unashangilia hivyo dogo? mimi nilijua tayari mnabadirishana mawazo ana kwa ana. Sikukatishi tamaa ila utakuja kusema tena hapa,kitu utakachokutana nacho sicho kabisa ulichoki-target,Sicho ulichokiingiza kichwani. Yote kwa Yote mitandao ya kijamii kuna marafiki kibao tu wazuri saana ya ufikiriavyo
 
Aah. Wappi. Napambana na hali yangu huku jirani.

Vp na weye jirani hujapata rafiki bado? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kama huyu ninaemkwoti si rafiki yangu, basi narudi kumalizia vigae vyangu.

Unganisha nguvu jirani... Si unajua kidole kimoja hakivunji chawa ee[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wouh! But still scanning on process before things get boom.. Good for you chief. Utotoni kulikuwa na ile michezo ya kupanda kilimani na kuteleza kwa mikebe.. Basi unajionea raha za dunia. I see you there[emoji4]
Ulijuaje??? Umekaa kama mpiga ramli mkuu hahahahaahhaahahahah
 
Back
Top Bottom