JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Haijaseviwa kwenye simu mkuu, ni kama zile msg zinazokuwa na logo name ya brand eg. M-Pesa, Vodacom n.k believe me. Chaajabu sijawahi hata kufikiria kufungua akaunti huko kwa walimu!Mbona hiyo namba ya NMB imeseviwa kwenye simu yako? kama ni tapeli basi alishika simu yako akasevu namba zake.
Inawezekana pia kuna mtu kafungua akaunti ya NMB alafu kajaza namba zako ndio ziwe zinapata notificication pesa ikiingia.
Sio kirahisi hivyo...unavyodhani comredMpunga wa sikukuu huo
Kwani hiyo akaunti namba unaitambua? Otherwise ni muhuni alisave namba kwa jina la NMB hebu jaribu ku view contact detailsHawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...π
Hiyo msg ni official from nmb kilichotokea ni kuwa kuna mtu alienda kuweka hela kwa wakala kwenye akaunti inayoonekana hapo. Sasa kule unaulizwa namba ya simu(ya mwekaji au yoyote) sasa huyo mwekaji inavyoonekana alikosea baadhi ya namba ikajikuta namba alizotaja zinamatch na namba yako so sytem ya nmb ndo ikatuma hiyo msg but mpunga upo kwenye hiyo akaunti inayoonekana hapo na wala hakuna uhusiano kati aliyetumiwa msg na hiyo akaunti na huo mpunga ulioingiaHawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...π
Siyo kweli mkuu nmb namba wanaandika full kama unadepost kwenye kutoa ndo wanaandika namba za mwisho but crdb wao hata kwenye kuweka wanaandika namba za mwisho tu.nmb account namba uwa ina andikwa namba za mwisho ...xxxx hao ni wahuni tu wa mtaa
Meseji bandia kwa JITU BANDIA πππHawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...π
Soma hadi chiniMbona hiyo namba ya NMB imeseviwa kwenye simu yako? kama ni tapeli basi alishika simu yako akasevu namba zake.
Inawezekana pia kuna mtu kafungua akaunti ya NMB alafu kajaza namba zako ndio ziwe zinapata notificication pesa ikiingia.
Vuta mkwanja wa sikukuuHawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...[emoji116]
NMB ujumbe wao uko hiviHawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...π
πππππ upo huku NBC au?Chaajabu sijawahi hata kufikiria kufungua akaunti huko kwa walimu!