Nimepata SMS ya kupokea hela kutoka NMB na sina akaunti

Nimepata SMS ya kupokea hela kutoka NMB na sina akaunti

Number yako ya simu ya zamani ambayo huitumii tena kashapewa mtu mwingine, na kajisajili nayo NMB...
 
Labda ile sala yako uliyosali kwa ArchAngel Michael ndio imejibiwa.
 
NMB huwa hawaandiki full namba ya akaunti yako wakikutumia sms ya fedha
Husema kiasi cha xxx kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na namba xxx..
Kuwa makini mkuu wahuni hao wanataka kuchapa au kukuchapia
 
Back
Top Bottom