EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Apr 21, 2023 #21 Slowly said: Sms za hv zilinifanya nikapigwa na kitu kizito Click to expand... Hebu simulia kwa kifupi πππ
Slowly said: Sms za hv zilinifanya nikapigwa na kitu kizito Click to expand... Hebu simulia kwa kifupi πππ
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Apr 21, 2023 #22 Kataa matapeli
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 21, 2023 #24 Number yako ya simu ya zamani ambayo huitumii tena kashapewa mtu mwingine, na kajisajili nayo NMB...
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Apr 21, 2023 #25 Labda ile sala yako uliyosali kwa ArchAngel Michael ndio imejibiwa.
Mc Kaskas Senior Member Joined Dec 13, 2017 Posts 112 Reaction score 177 Apr 21, 2023 #26 NMB huwa hawaandiki full namba ya akaunti yako wakikutumia sms ya fedha Husema kiasi cha xxx kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na namba xxx.. Kuwa makini mkuu wahuni hao wanataka kuchapa au kukuchapia
NMB huwa hawaandiki full namba ya akaunti yako wakikutumia sms ya fedha Husema kiasi cha xxx kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na namba xxx.. Kuwa makini mkuu wahuni hao wanataka kuchapa au kukuchapia