Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali


Sorry mkuu sio yako.

Vp kuhusu hiyo ya PCB ilikua January 31, 2017 hata mwezi haujaisha unasema umepata sup?? au ndo utafutaji wa kiki


Reference hii hapa

HR 666 JF-Expert Member #1 Jan 31, 2017
Joined: Sep 7, 2016
Messages: 1,286
 

Good.
 
Lady Aj yale mambo ya kutongozana mimi na wew si yalishaisha

Kwani nimekutongoza tena?

Ulivyonipiga kibuti tena isitoshe ukaja kunianika jukwaani bado tu una kinyongo?
Nilishakusamehe! Hapo kabla nilidhani wewe ni jibaba la haja,kumbe ni mvulana masikini pole sana na hakika hata sasa nimekusamehe ila nasikitika sana kwanini umeruhusu uzembe katika masomo yako huku ukijua Baba na Mama wanategemea makubwa toka kwako!!
 
Twende PM tukaongelee kwa suala hili kwa kina
 
Kama haujadisco endelea but kaza buti.m nlisoma SUA watu wanakula sup 6&7 semester one but semester 2 wanashinda library wanatoka na za nne.

GPA inangarisha chet but ina play very little role kwenye ajira bcz ukiwa unaomba kazi mara nying unaombwa c v tu na cover letter ndio basis ya kuitwa kwenye interview, vyet n kama proof tu na ni baada ya interview.

The idea is that hauwez kutumia matokeo ya mtu kufanya employment decision since kila chuo kinatofautia ubora na ugumu also the way hyo gpa inatafutwa n tofaut.
Mm ninayo upper sec but nipo huku mtaan lkn watu wana vimbili vyao wapo kazini.
Kaza buti bcz ukiwa unaaply kazi mara nying hauombwi vyet, vyet n baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…