Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Ukisema uwekewe vat watakuuliza VRN number na huna! So ngoma ina baki pale pale..Nachojua wakati unapata mashine unaulizwa VAT iwepo au isiwepo. Wakulungwa wanajibu isiwepo, haya madhara si ndo kama hayo?
Sidhani kama ni dhambi kisheria kutoa risiti bila VAT, we watolee. Unless mteja wako ndio akatae..
Toa.. mpe mteja.. kwani ni mara yako ya kwanza kutoa risiti? Kama sio, je kuna kibaya kilishatokea ulipotoa risiti ya mashine bila VAT?Baada ya kufika kwao wanasema mikataba lazima iwe ya 100m, kwa kweli kwa tunao anza kupata mkataba wa 100m at once si kazi rahisi na ndio maana tunajikongoja taratibu ili tufike huko juu! Sasa nimewapelekea mikata niliyo nayo wamegoma! Na nnatakiwa kutoa receipt! Je nitoe tu receipt ya efd isiyo na vat?
Nilivyoona mkataba unasema kuna 18% ya vat ndio nikapata shaka kidogo hasa ukizingatia niliyo lipwa ni kiasi chenye vat ndani. Ila nikiona ngoma ngumu itabidi nitoe risiti tu hamna namna!Toa.. mpe mteja.. kwani ni mara yako ya kwanza kutoa risiti? Kama sio, je kuna kibaya kilishatokea ulipotoa risiti ya mashine bila VAT?
Hao TRA Tanzania nawangoja hapaMkuje mjibu tuhuma hizi TRA Tanzania
Sasa nifanyaje mkuu?! NimekwamaUnahonga kupata VRN baada hapo wanaanza kukukamuaa kodi kubwaaa za VAT only in Tz.....tunachekwa sanaaaa
Sasa mkuu una maanisha nini?Nikimuona mtu anashobokea tenda za serikali, HUWA NAMUONEA HURUMA SANA.
Mzee,hiyo taasisi waambie tu huna VAT,then watolee tu risiti..mbona normal tunafanya hivyo always.Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.
Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?
Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Una maanisha unaweza toa risiti ya efd isiyo na vat na ikakubalika?Mzee,hiyo taasisi waambie tu huna VAT,then watolee tu risiti..mbona normal tunafanya hivyo always.
Mkuu mbona unanitisha?VAT ukijiingiza utajua kuwa samia ni chura kiziwi.Kwa biashara hizi
Mama amekufikia na amewafikia watanzania wote...Mama anatosha.Mapambano ya biashara Tz ni magumu sana, unapambana kupiga hatua bado serikali inakuwekea ngumu! 😇
Ikiwa bidhaa zinapotea, zinaharibika, au hazina mnunuzi, VAT uliyoilipa kwenye ununuzi wake unaweza kutopokea urejeshwaji wake.Mkuu mbona unanitisha?