Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

Na kuna asilimia mbili ya kodi ya zuio (Withholding Tax) kama uliuza bidhaa au asilimia 5 kama uliuza huduma, ambayo imeshakatwa wakati unalipwa mwenye hundi yako.
Mbona kama sielewi? Una maanisha au unatania? Kwamba VAT uki deposit tu bank inakatwa juu kwa juu?
 
Hivi kabla hujashinda hiyo tender wenye tender hawakuonyesha au kuweka kigezo hicho cha kuwa na VAT?

Mambo ni mengi sana, TRA Tanzania njooni mtoe msaada na elimu.

Hata mim nashangaa sbb lzm ijulikane ni inclusive au exclusive ila haya mambo nayo ni magumu
 
Mbona kama sielewi? Una maanisha au unatania? Kwamba VAT uki deposit tu bank inakatwa juu kwa juu?
No, namaanisha kuwa kwenye hayo malipo uliyolipwa imeshakatwa na kodi ya zuio yaani Withholding tax, ambayo itakuja kupunguza corporate tax kama ni kampuni au provisional estimates tax kama ni individual (Withholding Tax ni tax paid in advance) kwenye hesabu za mizania mwisho wa mwaka.

Na Service Levy pia imekatwa 0.3% ya kile ulichouza maana ni utaratibu wa serikali.

VAT inakuwa adjusted/computed (kokotolewa) tu pale unapofaili kila tarehe 20 au kabla ya tarehe 20 ya kila mwezi unaofuata. Wala haikatwi juu kwa juu.
 
Wewaambie unatoa risiti bila vat ila punguzo utawarudishia hiyovat iwe faida kwao ,hii ngoma haihitaji hasira wahindi ndivyowanavyotajirika anakupa huduma alafu anakwambia usilipie vat kwahyo unajikuta wewe unakua mtejawake sababu ya gharama yake ipo chini ila ukija kwa wabongo wanakujumlishia Hadi vat means gharama ya bidhaa lazma iwe juu nandipo tunapowakimbia nakwenda kwa wahindi
 
Hii ni taasisi ya serikali mkuu
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Bro, ulifanya makosa kusaini mkataba wenye thaman ya mkataba pamoja VAT Wakati unafaham kuwa hujafika kiasi cha kustahili kuwa VAT registered (hapa yaweza tastafsiriwa kama umefanya cheating).

Wakati unapopewa mkataba uupitie ndio Wakati wa wewe kukiri kuwa sijawa VAT registered na taasisi hiyo ingerekebisha hiyo thaman ya mkataba kwa kuondoa VAT.

NeST huwa inaweka amount zote kwa kuziwekea VAT....bila kujali kama mzabuni hajafika kiasi cha kustahili kuwa VAT registered ama lah...na inafanya hivyo ili iwe rahisi kufanya ulinganivu wa bei Kati ya mzabuni na mzabuni...ila baadae unapopewa mkataba lazima ukiri kuwa sijasajiliwa ku collect VAT sababu sijafika kiwango cha mauzo kilichowekwa.

Kwa taarifa tu...hata ukitoa receipt ya amount hiyo...Jamaa watajua tu cz huwa wana updates kwa system...so wataona amount ni sawa ila system inakusoma kuwa hujasajiliwa ku collect VAT...hapo ndio itabidi wakuchek kuwa umewaibia.
 
way forward?
 
Nachojua wakati unapata mashine unaulizwa VAT iwepo au isiwepo. Wakulungwa wanajibu isiwepo, haya madhara si ndo kama hayo?

Sidhani kama ni dhambi kisheria kutoa risiti bila VAT, we watolee. Unless mteja wako ndio akatae..
Kama hujasajiliwa vat kuna baadhi ya unaofanya nao biashara hawatakubali maana ni hasara.
Viwanda vingi kwa mfano vinategemea vat refund kwenye mahesabu yao, hawawezi kununua bidahaa kwq mtu asiyesajiliwa vat
 
Hiyo VAT unaililia now,ukiioata utatamani utoke,na itakuwa ngumu
Sidhani kama anaililia, ila biashara anazozifanya inaonekana inabidi asajiliwe,
Vat mziki wake sio mdogo kwa wafanyabiashara wadogo, inahitaji umakini na nidham sana
 
Nashukuru kwa kunielewa
 
Back
Top Bottom