Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 577
- 1,314
Hawez mkuu acha kupotosha, labda arudishe ile VAT aliyokusamya kutoka kwa client wake.Mzee,hiyo taasisi waambie tu huna VAT,then watolee tu risiti..mbona normal tunafanya hivyo always.
Alitakiwa aseme mapema ili alipwe bila VAT. Kama amelipwa anapaswa kupeleka hiyo kodi kwa mama Abdul