Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

Toa risiti ya ulicholipwa, kwa siku za mbeleni mamlaka itakudai hiyo VAT.
 
Toa.. mpe mteja.. kwani ni mara yako ya kwanza kutoa risiti? Kama sio, je kuna kibaya kilishatokea ulipotoa risiti ya mashine bila VAT?
Mkuu kama umelipwa mauzo/huduma uliyotoa na VAT then ukatoa risit bila VAT kwanza muhusika hatakubali na hata akikubali hapo unakuwa umeiibia serikali kodi na ushahidi juu wa kujifunga.

Kuna namna ya kufanya ila nimechoka siwezi kuelezea cc: TRA Tanzania kama wamo humu
 
Ile hela ya VAT hawatokulipa,simple like that
 
Umebahatika, toa risiti ya kiasi chote cha pesa uliyolipwa.
Asante kwa muongozo mkuu wangu, nilikua nahofia kama ile sehemu yenye VAT wakiona iko sifuri wangeeza zingua! Acha nikate tu maana nisha kwama🙏
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Wakati wa kutoa risiti make sure unaweka details za mteja kama Tin, Vrn, jina etc sidhani kama watakaataa. Otherwise ongea na mteja wako akupe details zaidi, ila kikawaida hata risiti ya kawaida inafaa ukiwa umeweka details za tin za mteja.
 
Nachojua wakati unapata mashine unaulizwa VAT iwepo au isiwepo. Wakulungwa wanajibu isiwepo, haya madhara si ndo kama hayo?

Sidhani kama ni dhambi kisheria kutoa risiti bila VAT, we watolee. Unless mteja wako ndio akatae..
Hapana, haiko hivyo, ili uwe VAT registered lazima uwe na mauzo ya zaidi ya 100m, sio kwamba unaulizwa,
 
Mkuu mbona unanitisha?
Asikutishe mkuu, VAT registered person anakuwa ni wakala wa kukusanya na kuilipa TRA, hiyo ni indirect tax ambayo inalipwa na mnunuzi wa mwisho (final consumer) As long na wewe unakonunua (suppliers) wako wawe VAT registered ili kuja ku-adjust zile Output na Input (kupata repayment/refund au tax payable)

Kwa kifupi we ni intending trader, ambaye unapaswa kuwa registered kwa kigezo cha contracts ambazo prices zake ziko VAT inclusive, kwanza VAT iombe mwenyewe kupitia portal yako (Taxpayer Portal) attach na hiyo mikataba then nenda kwa Meneja wa TRA mkoa mwambie ushaomba online akusajili, hawa watumishi wadogo wadogo wanakuwa wanataka kitu kidogo.
 
Duh!
 
Hapana, haiko hivyo, ili uwe VAT registered lazima uwe na mauzo ya zaidi ya 100m, sio kwamba unaulizwa,
Watu wanajua VAT ni kitambulisho cha machinga.
Alafu hakubari kuweka bei yake ambayo ina VAT.
Pili manunuzi ya mzigo yaendane na risit ya TIN yake conclude VAT.
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Nature ya biashara pia inaamua uwe kwenye vat au la. Kajieleze vizuri kwanini unataka kuingia kwenye vat utahudumiwa.
 
Back
Top Bottom