Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Ukiwa na mkataba wanakusajili bila shida. Anzia kwenye TRA portal kwa kuomba usajili wa VAT na uambatanishe mkataba. Baada ya hapo, nenda ofisini kwao, ukifika omba kuzungumza na meneja.
 
No, namaanisha kuwa kwenye hayo malipo uliyolipwa imeshakatwa na kodi ya zuio yaani Withholding tax, ambayo itakuja kupunguza corporate tax kama ni kampuni au provisional estimates tax kama ni individual (Withholding Tax ni tax paid in advance) kwenye hesabu za mizania mwisho wa mwaka.

Na Service Levy pia imekatwa 0.3% ya kile ulichouza maana ni utaratibu wa serikali.

VAT inakuwa adjusted/computed (kokotolewa) tu pale unapofaili kila tarehe 20 au kabla ya tarehe 20 ya kila mwezi unaofuata. Wala haikatwi juu kwa juu.
The Ammended Finance Act 2025, Service levy sasa ni 0.25%

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ukiwa na mkataba wanakusajili bila shida. Anzia kwenye TRA portal kwa kuomba usajili wa VAT na uambatanishe mkataba. Baada ya hapo, nenda ofisini kwao, ukifika omba kuzungumza na meneja.
Mwanzoni tulifanya hivyo na hatukufanikiwa kumuona meneja wao, tuliye muona ni officer wa chini, jibu walilotupa ni kwamba lazima mikataba iwe na thamani ya milioni 100 na kuendelea (japo sheria inasema tuambatanishe mikataba na sio mikataba yenye 100m na zaidi)! Hapo ndio nikaishiwa nguvu!
 
ni sahihi, basi ambatanisha mkataba zaidi ya mmoja, kwa mfano huo wa nest na pia tafutisha mikataba mwingine hata kutoka kwa taasisi binafsi....!!!! Kwa ujumla ivuke hicho kiwango...!!!!
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Ili usajiliwe VAT ni kweli kuna watu wa aina tatu
!: Uwe unauza bidhaa au uduma zinazotozwa kodi ya VAT
2: Unajihusisha na huduma za kitaalamu
3: Unatarajia kufanya biashara yenye kodi ya vat ambpo mwisho wa siku utaikia kiwango hicho cha usajil yaani 200 mlioni.
Sasa ushauri fika TRA ambapo unalipiaga kodi na uombe kusajiliwa na sheria inasema ukifika siku ambayo ulitarajia anza kazi na hujaanza basi utafutiwa usajili. Cha msingi fika ofisi za TRA omba kumuona Meneja wa Mkoa na ukishindwa hata kamishna wa Kodi za ndani
 
Shukrani mkuu
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Bila Shaka ulishafanikiwa mkuu
 
Una maanisha nini unaposema mimi ni mgeni humu?
Na maanisha wewe sio muhenga wa humu/ hujasoma michango na thread nyingi humu ndani.

Kuna thread moja Kuna mdau aliwai kuelezea jinsi tender ya serikali ilivyo geuka mwiba mchungu ngoja ni jaribu kui search 🔍 nikuwekee upate testimony za wadau mbali mbali ndugu
 
Kwenye kigezo chabkuwa mhenga mimi ni mhenga zaidi yako humu ndani.

Kwenye kutoona yes inawezekana sijaziona.

Kama hutojali weka hapa tuipitie.
 
Wewaambie unatoa risiti bila vat ila punguzo utawarudishia hiyovat iwe faida kwao ,hii ngoma haihitaji hasira wahindi ndivyowanavyotajirika anakupa huduma alafu anakwambia usilipie vat kwahyo unajikuta wewe unakua mtejawake sababu ya gharama yake ipo chini ila ukija kwa wabongo wanakujumlishia Hadi vat means gharama ya bidhaa lazma iwe juu nandipo tunapowakimbia nakwenda kwa wahindi
Ufanye biashara na serikali ufanye michezo hii unajitaka?
Hiyo inawezekana kama unanunua kwa watu binafsi na taasisi ndogo binafsi.
 
Ndio shida ya kuajiri watu kwasababu ya ufaulu wa vyeti. Uwezo wa ku'improvise upo chini sana kiasi kwamba akiklemu kitu basi anakishika hivyo hivyo hadi miaka yote.
 
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.

Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.

Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?

Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Kama haujasaliwa na VAT, aliyekupa kazi atakulipa kulingana na kazi yako nae Kama atakulipa bila VAT..

Utampa risit isiyo na VAT na yeye atakulipa bila VAT (kama umesajiliwa VAT, maana yake wewe ni wakala wa TRA kuisaidia kukusanya VAT)

Your contract is still Valid usikimbilie VAT mzee kuna majanga yake
 
Back
Top Bottom