Ukiwa na mkataba wanakusajili bila shida. Anzia kwenye TRA portal kwa kuomba usajili wa VAT na uambatanishe mkataba. Baada ya hapo, nenda ofisini kwao, ukifika omba kuzungumza na meneja.Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.
Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?
Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Kupigwa NJE NJESasa mkuu una maanisha nini?
The Ammended Finance Act 2025, Service levy sasa ni 0.25%No, namaanisha kuwa kwenye hayo malipo uliyolipwa imeshakatwa na kodi ya zuio yaani Withholding tax, ambayo itakuja kupunguza corporate tax kama ni kampuni au provisional estimates tax kama ni individual (Withholding Tax ni tax paid in advance) kwenye hesabu za mizania mwisho wa mwaka.
Na Service Levy pia imekatwa 0.3% ya kile ulichouza maana ni utaratibu wa serikali.
VAT inakuwa adjusted/computed (kokotolewa) tu pale unapofaili kila tarehe 20 au kabla ya tarehe 20 ya kila mwezi unaofuata. Wala haikatwi juu kwa juu.
Mwanzoni tulifanya hivyo na hatukufanikiwa kumuona meneja wao, tuliye muona ni officer wa chini, jibu walilotupa ni kwamba lazima mikataba iwe na thamani ya milioni 100 na kuendelea (japo sheria inasema tuambatanishe mikataba na sio mikataba yenye 100m na zaidi)! Hapo ndio nikaishiwa nguvu!Ukiwa na mkataba wanakusajili bila shida. Anzia kwenye TRA portal kwa kuomba usajili wa VAT na uambatanishe mkataba. Baada ya hapo, nenda ofisini kwao, ukifika omba kuzungumza na meneja.
ni sahihi, basi ambatanisha mkataba zaidi ya mmoja, kwa mfano huo wa nest na pia tafutisha mikataba mwingine hata kutoka kwa taasisi binafsi....!!!! Kwa ujumla ivuke hicho kiwango...!!!!Mwanzoni tulifanya hivyo na hatukufanikiwa kumuona meneja wao, tuliye muona ni officer wa chini, jibu walilotupa ni kwamba lazima mikataba iwe na thamani ya milioni 100 na kuendelea (japo sheria inasema tuambatanishe mikataba na sio mikataba yenye 100m na zaidi)! Hapo ndio nikaishiwa nguvu!
Ili usajiliwe VAT ni kweli kuna watu wa aina tatuKwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.
Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?
Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Shukrani mkuuIli usajiliwe VAT ni kweli kuna watu wa aina tatu
!: Uwe unauza bidhaa au uduma zinazotozwa kodi ya VAT
2: Unajihusisha na huduma za kitaalamu
3: Unatarajia kufanya biashara yenye kodi ya vat ambpo mwisho wa siku utaikia kiwango hicho cha usajil yaani 200 mlioni.
Sasa ushauri fika TRA ambapo unalipiaga kodi na uombe kusajiliwa na sheria inasema ukifika siku ambayo ulitarajia anza kazi na hujaanza basi utafutiwa usajili. Cha msingi fika ofisi za TRA omba kumuona Meneja wa Mkoa na ukishindwa hata kamishna wa Kodi za ndani
Bila Shaka ulishafanikiwa mkuuKwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka ila nna mikataba ya Nest inayotaka ni supply vitu na mikataba ina VAT.
Nimejaribu kwenda ofisi ya TRA ili kuomba kusajiliwa lakini wamegoma! Je nafanyaje na nimeshalipwa natakiwa kutoa receipt?
Naombeni uzoefu wadau, je kama ulishapitia hii changamoto ulifanyaje kuvuka? Je nitoe recipt YA EFD isiyo na VAT?
Wewe ni MGENI humu Kuna simulizi nyingi za kufirisika kwa sababu ya kuwa tendera kwa serikali.Sasa mkuu una maanisha nini?
Una maanisha nini unaposema mimi ni mgeni humu?Wewe ni MGENI humu
Na maanisha wewe sio muhenga wa humu/ hujasoma michango na thread nyingi humu ndani.Una maanisha nini unaposema mimi ni mgeni humu?
Kwenye kigezo chabkuwa mhenga mimi ni mhenga zaidi yako humu ndani.Na maanisha wewe sio muhenga wa humu/ hujasoma michango na thread nyingi humu ndani.
Kuna thread moja Kuna mdau aliwai kuelezea jinsi tender ya serikali ilivyo geuka mwiba mchungu ngoja ni jaribu kui search 🔍 nikuwekee upate testimony za wadau mbali mbali ndugu
😤 Sijazipata zilizo zenye nondooKwenye kigezo chabkuwa mhenga mimi ni mhenga zaidi yako humu ndani.
Kwenye kutoona yes inawezekana sijaziona.
Kama hutojali weka hapa tuipitie.
Mzee umesound kama baba angu alinambia kama unataka kufilisika pata tenda kubwa ya serikali.Nikimuona mtu anashobokea tenda za serikali, HUWA NAMUONEA HURUMA SANA.
Ufanye biashara na serikali ufanye michezo hii unajitaka?Wewaambie unatoa risiti bila vat ila punguzo utawarudishia hiyovat iwe faida kwao ,hii ngoma haihitaji hasira wahindi ndivyowanavyotajirika anakupa huduma alafu anakwambia usilipie vat kwahyo unajikuta wewe unakua mtejawake sababu ya gharama yake ipo chini ila ukija kwa wabongo wanakujumlishia Hadi vat means gharama ya bidhaa lazma iwe juu nandipo tunapowakimbia nakwenda kwa wahindi
Nicheki inbox bossKwenye kigezo chabkuwa mhenga mimi ni mhenga zaidi yako humu ndani.
Kwenye kutoona yes inawezekana sijaziona.
Kama hutojali weka hapa tuipitie.
Kama haujasaliwa na VAT, aliyekupa kazi atakulipa kulingana na kazi yako nae Kama atakulipa bila VAT..Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.