Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

Nipe nusu ya hyo kila siku unidai elfu kumi nawewe uwe bosi.
 
Chukua boda endesha mwenyewe huku ukikusanya mtaji wa kufanya kitu kikubwa zaidi
 
Kabla ya yoye,je wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote au ndio unataka kujifunza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…