Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

Hiyo pumzi waliyoipata na wanavyopumua hvyo uliitengeneza wewe hadi hapo ni kushukuru mkuu. hakuna kama Mungu mateso tuliumbiwa binadamu sema tunatofautiana tu huyu ana vita, huyu mgonjwa, huyu ana njaa na huyu kilema…… umewahi kujiuliza kama ungekuwa kipofu ungeweza kuandika hayo uliyoandika basi mpka hapo jibu unalo mshukuru Mungu kwa kila hali uliyonayo
 
Kwa wakati na Bahati mambo yote hutokea bruh.…. Kumbuka!
 

Attachments

  • 1716378593944.jpg
    104 KB · Views: 2
Hiyo pumzi waliyoipata na wanavyopumua hvyo uliitengeneza wewe hadi hapo ni kushukuru mkuu.
Unathibitisho upi kwamba pumzi ilitengenezwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetengenezwa, Hata huyo Mungu lazima awe ametengenezwa.

Na kama huyo Mungu yupo tu bila kutengenezwa, Hata Pumzi ipo tu bila kutengenezwa.
hakuna kama Mungu mateso tuliumbiwa binadamu sema tunatofautiana tu huyu ana vita, huyu mgonjwa, huyu ana njaa na huyu kilema……
Mungu huyo Alishindwaje kuumba dunia isiyo na mateso, magonjwa, vilema na njaa?

Kama Mungu aliumba kila kitu kwa ukamilifu. Magonjwa, mateso, njaa na vilema yalikujaje?

Kama magonjwa, mateso na njaa yaliweza kuja duniani, ilihali Mungu huyo aliumba dunia kwa ukamilifu. Huoni kwamba kazi yake ya uumbaji ina dosari na kasoro?

Huoni kwamba Mungu huyo ni Mdhaifu sana kwa kushindwa kuumba Dunia yenye ukamilifu milele yote?
umewahi kujiuliza kama ungekuwa kipofu ungeweza kuandika hayo uliyoandika basi mpka hapo jibu unalo mshukuru Mungu kwa kila hali uliyonayo
Uwepo wa vipofu ni uthibitisho tosha kwamba kazi ya uumbaji ya huyo Mungu ina dosari na kasoro.

Ndio maana kuna watu wanazaliwa vipofu bila wao kupenda.
 
Ngoja nikuache na philosophy zako mimi naamini hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…