Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Mimi kama mzazi sikushauri nakukanya! Au hakikisha aliyekupa mimba akuoe si kukuzalisha ili uongeze single mothers
Ndo nimempa hilo shart lakin sasa hizi ndoa za sikuhizi hata ukiolewa unaweza achika pia..ndo maana hapa najiwaza mie zaid je ntaweza? Uwii jaman! Sijui najisikiaje hapa
 
Jaman[emoji848] haya
 
Sawa! Wacha nione jaman yewuuu!
 
Asante kwa ushauri mkuu! Wacha nione!!
 
Ndo nimempa hilo shart lakin sasa hizi ndoa za sikuhizi hata ukiolewa unaweza achika pia..ndo maana hapa najiwaza mie zaid je ntaweza? Uwii jaman! Sijui najisikiaje hapa
Huo ni ujinga! Ndoa huwa haijaribiwi, olewa na uhakikishe mnaishi wote bila kuachana. Ukiingia katika ndoa na Wazo la kuachana, lazima ipo siku mtaachana. Hakikisha unamganda kama rubi. Useme hatoki mtu hapa. Kila la heri na hakikisha unafunga ndoa kabla ya mwisho wa mwezi huu
 

Hivi kwanini mwenye mimba akili inakua sio yake, huwa mnapatwa na nini!!
 
Umenichekesha jaman! Mwisho wa mwezi huu? Acha utan bas mie niko serious ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…