Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Sio wivu bali nakuangalia tu, jinsi unavyomchelewesha...

Unajua kabisa huyu binti lazima aje kwenye ukoo wetu...

Ukiendelea kuchelewa, nitam-mimbisha mimi mwenyewe...

Usije ukasema sijakuonya mapema
Hahah unataka kukaribisha gasho kwa ukoo we mzee? 😂😂

Nendeni FB mkasearch careenjibebe mtaona mmepoteza muda tu kutoa maoni kwenye huu uzi
 
Hahah unataka kukaribisha gasho kwa ukoo we mzee? 😂😂

Nendeni FB mkasearch careenjibebe mtaona mmepoteza muda tu kutoa maoni kwenye huu uzi
Ngoja niwahi fasta nikaupime ufala wangu....

Mamamamae mi kumbe bwege,,, dah
 
Changamoto inayopata ke walio wengi hasa ambao bado hawajaolewa na wakapata ujauzito ni ile hali ya kujihisi vibaya wakati tumbo limeshaanza kuonekana.

Kwa mujibu wa mama kijacho fulani anadai huwa wanajiona wanyonge na kuhisi aibu kwakuwa eti kila mtu anakuwa anajua dhahiri shahiri kuwa huyu dada naniliu kaT°mBW@.

Kawaida sana, mwanamke kuzaa baaana!
 
Umeulilia wembe hatimaye umekukata unabaki tena unajiuliza kama umekukata?
 
Changamoto inayopata ke walio wengi hasa ambao bado hawajaolewa na wakapata ujauzito ni ile hali ya kujihisi vibaya wakati tumbo limeshaanza kuonekana.

Kwa mujibu wa mama kijacho fulani anadai huwa wanajiona wanyonge na kuhisi aibu kwakuwa eti kila mtu anakuwa anajua dhahiri shahiri kuwa huyu dada naniliu kaT°mBW@.

Kawaida sana, mwanamke kuzaa baaana!
Nawaza maadiliko ya kuumwa..kulea majukumu! Yaan maisha kubadilika kwa ujumpa sioni aibu hata
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inakuwa ya mtoto.
Hawa ndo wale ambao wanafanya mambo ya ajabu kisha wanaisingizia mimba.mambo mengine ni kujiendekeza tu hakuna la maana.

Utamsikia mwanamke anasema eti ndo mimba yake inampeleka hivyo 😳😳mimba yake my futi😏..

Unakuta mjamzito mchafu,anarusha mate utafikiri nyoka ndugu msomaji..mdomo alivyouegesha sasa keleuwiii😁😁jamani
 
Hawa ndo wale ambao wanafanya mambo ya ajabu kisha wanaisingizia mimba.mambo mengine ni kujiendekeza tu hakuna la maana.

Utamsikia mwanamke anasema eti ndo mimba yake inampeleka hivyo [emoji15][emoji15]mimba yake my futi[emoji57]..

Unakuta mjamzito mchafu,anarusha mate utafikiri nyoka ndugu msomaji..mdomo alivyouegesha sasa keleuwiii[emoji16][emoji16]jamani
Utakua hutupendi wajawazito wewe
 
Back
Top Bottom