Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje? Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha! Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Njoo tumuwekee mtoto masikio
 
Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje?

Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha!

Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Ahaa, unachotakiwa kufanya, jitahidi upate busta mrembo, hautasumbuliwa na mimba na utakuwa mwenye furaha, unahitaji kujua aina ya busta?
 
Umenichekesha jaman! Mwisho wa mwezi huu? Acha utan bas mie niko serious ujue
Wewe kama mwislam ndoa ya mkeka inakuhusu. Kama ni Mkristo nendeni wewe (ukiambatana na mwanao tumboni); mumeo na Mashahidi wawili tu siku ambayo siyo ya jumapili mfunge ndoa ya kimya.
 
Si ulichomwa sindano nayo ikazaa mimba?
Sasa wahitaji sindano kama hiyo lakini mchomaji tofauti.
Mimi fundi sana wa hizo busta[emoji16]
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nataman niwaambie niliokaa nao sema ni wafanyakaz wangu sasa wataona boss hana heshima
 
Wewe kama mwislam ndoa ya mkeka inakuhusu. Kama ni Mkristo nendeni wewe (ukiambatana na mwanao tumboni); mumeo na Mashahidi wawili tu siku ambayo siyo ya jumapili mfunge ndoa ya kimya.
Ngoja nimjaribu nione au nipe mbinu za kumshawish gafla hiyo
 
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nataman niwaambie niliokaa nao sema ni wafanyakaz wangu sasa wataona boss hana heshima
Unajua nini?
Lengo langu limetimia, nilitaka utabasamu.
Mimi nikiona mjamzito nitafanya kila namna afurahi....ninapenda kuona mwanamke mwenye mimba sijui kwanini[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom