Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

uende kuanza clinik.

Usipuuze kunywa vidonge vya kuongeza damu.
 
Mimi ni mwanamke mwenzako madame.ninachokiongea nakijua [emoji817] hakuna kigeni hapo.nikujiendekeza tu kwenye baadhi ya vitu
Adui wa mwanamke ni mwanamke.
Napenda sana mjazito, nitamdekeza hadi atakua anakumbuka na kutamani kutiwa mimba tena[emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu umeache careenjibebe wangu[emoji1]
 
Weeeeee...... Jamani weweeeeeee[emoji39]
Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unayo niambie plz
 
Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unayo niambie plz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unayo niambie plz
Umesema asiye kisirani ee??mimi nilijua I nawapenda hata hao visirani😁
Siku nyingine usiseme adui wa mwanamke ni mwanamke kama unachagua wajawazito wa kuwapenda.

Siku ukimpenda na huyo mwenye kisirani basi adui wa mwanamke ni mwanamke 😁Hallelujah
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]visirani hapana
 
Unajua nini?
Lengo langu limetimia, nilitaka utabasamu.
Mimi nikiona mjamzito nitafanya kila namna afurahi....ninapenda kuona mwanamke mwenye mimba sijui kwanini[emoji38][emoji38]
Itakuwa unataka lile joto joto tu.
 
Unajua nini?
Lengo langu limetimia, nilitaka utabasamu.
Mimi nikiona mjamzito nitafanya kila namna afurahi....ninapenda kuona mwanamke mwenye mimba sijui kwanini[emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3] sante!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…