Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unayo niambie plz
[emoji3][emoji3][emoji23]
 
[emoji23]mnanifurahisha
 
Acha wivu kwa mwanamke mwenzako, wewe kama ulichoropoa mimba ukiwa mwanafunzi ni wewe?

Nioneshe wivu kwenye comment yangu

Ama labda kama huko kwenu kuna maana nyingine ya wivu
 
Mbona ukiwa na mimba ujasiri unakuingia ghafla wewe kwanini uogope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…