Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unayo niambie plz
[emoji3][emoji3][emoji23]
 
Umesema asiye kisirani ee??mimi nilijua I nawapenda hata hao visirani[emoji16]
Siku nyingine usiseme adui wa mwanamke ni mwanamke kama unachagua wajawazito wa kuwapenda.

Siku ukimpenda na huyo mwenye kisirani basi adui wa mwanamke ni mwanamke [emoji16]Hallelujah
[emoji23]mnanifurahisha
 
Acha wivu kwa mwanamke mwenzako, wewe kama ulichoropoa mimba ukiwa mwanafunzi ni wewe?

Nioneshe wivu kwenye comment yangu

Ama labda kama huko kwenu kuna maana nyingine ya wivu
 
Mbona ukiwa na mimba ujasiri unakuingia ghafla wewe kwanini uogope?
 
Back
Top Bottom