Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Uache umalaya ukibaki na mmoja ndio utajua ni ya nan? Acha kugawa kama pipi

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hajitambui na hajiamini kwani mwanamke ni ww tu,harafu hata wewe hujitambui pia si umwambie tu!
 
We ni mpuuzi kweli...sa umekuja kusema uku upate matusi zaidi...unaona fahari kufanya mapenzi na midume kibao sa mwanao akikua utamwambia nn endapo ka humjui baba ake....stupid

rap beast
 
We nawe
 
Hiyo mimba ni yangu, nitafute pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana mimi sina mapenzi na wanawake wa Dar.....wengi wao ni mashangingi, wanawaiga dada zao wa bongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…