Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
- Thread starter
-
- #61
nina amani sina shida sitegemei mtuvipi upande wako unaamani moyoni?
kama ndivyo, endelea na maisha
Ivi huu ujasiri mnautoaga wapi nyie watu?Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Hongera kwaa group sex yako,,,Huyo was kwanza ndo mwenyewe au kuna nth term nyingine umesahau!!!
Unaonekana wewe ni kiungo muhimu sana kwa mboga ya usiku! Mbinu kama hiyo huwezi kuijua kama hujawahi kucheza nafasi muhimu kama ya kiungo.Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Mkuu naona huyo haishii kwenye nth term anaweza kwenda infinite maana naona series yake ndefu imagine in one day two men tena akiwa safarini. Sasa huko anapokaa si atakuwa na infinite series?Huyo was kwanza ndo mwenyewe au kuna nth term nyingine umesahau!!!
Duh! Wanaume kazi ipo, ukiwa unalinda coco beach wenzio wanaogelea Kawe tu! Umekosea ila kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo wa kwanza kukupiga siku hiyo ulotoka na wawili ndo mwenye mtotoNilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.