Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

USHAWAHI SKIA MAPACHA WATATU WALIZALIWA VIETNAM ILIKUA KILA MMOJA ANASURA YA BABA YAKE SBB WANAUME WOTE WALIPIGA PEKU CKU1 MUDA TOFAUTI NDO AKAPATA SBB MLANGO WA HANDAKI HAUKUJIFUNGA MAPEMA,SASA WEWE WAAMBIE WOTE UNA MIMBA MANA KAMA WALIKIFUNGUA KIPOCHI MANYOA CK1 NA KAMA MLANGO WA HANDAKI HAUKUJIFUNGA MAPEMA TUTEGEMEE YOTE YOTE.....UJIFUNGUE SALAMA
 
Ulipokuw umeitwa hotelini ukavua pichu ulituomba ushauri?c uliachia tu?ulipompigia wa pili ulitushirikisha?ulivyokuwa mnashauriana amwage wapi ulitushirikisha?una matatizo ndio unayaleta humu tukushauri?uliyekula naye mboga ule naye ugali mkavu,unatafuta nini wanaume wa tatu?au hyo papuchi yko ni nidiketa ina washa kila saa?Ushauri ukiwa na watatu wa nyumbani mpe papuchi hawa wa nje wape mini kabang!
 
Hao wanaume wame sperm donor uyo mtoto ni wa kwako! Wala si mbaya kujiandaa kuwa single mother badala ya kumsingizia mwanaume mmoja wapo iyo ni mbaya utakuja kuumbuka baadae kama Mungu alivyo kuumbua kwa hili
 
yaani kuna vibint vingine vinastahili kunyongwa mpaka vife maana ni bure kabisa PUNGA
 

HUYU ASHAONESHA MIKATO YA HOVYO NDIO TABIA ZAKE
 

MIMI NIPE KAZI YAKUKUNYONGA TU WEWE MDADA MAANA SASA HUNA MAANA WAWILI KWA MARA MOJA HUONI KINYAA ? MUNGU TUSAIDIE UNAENDA PEKECHA UJINGA ULOPEKECHWA MUDA SIO MREFU
 
We dada umekosea sana ila nkuambie tu subiri uzae utaona mtoto kafanana na nani mana kiukweli kwasaivi utapata ugumu kujua, mana nna mfano wa kweli wa kwangu mimi mwanamke wang alipata mimba yangu kwa stail hio hio ya kukojoa nje tena kesho yake tu akaanza dalili za mimba
 
SIJUI HALI YA HEWA YA ARUSHA NDIO INAWAFRASTRAIGHT HAWA WADADA MAANA HATA SIJUI WAMEPATWA NA NINI HAWAISHIWI NA VISA TENA VIKALI
 
Heheheheh ugwadu on point haaha kuna wanawake wanajiweza kabsaa
 
Moja ya madhara mengi ya zinaa ni hilo lililo kutokea na kama ukiendelea nayo utakutana na mengine mengi sana,jiandae kwa endless thread utakozoanzisha humu kutaka msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…