Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Kwa kweli aise maana ni sheedaanunue selfie stick tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli aise maana ni sheedaanunue selfie stick tu
Sio kweli, by the way huyu mdada aje aseme kama kweli alikua hapendwi na wa arusha.waarusha hampendi
namaanisha huyu dada hampendi wa arushaSio kweli, by the way huyu mdada aje aseme kama kweli alikua hapendwi na wa arusha.
sheeda nzitoKwa kweli aise maana ni sheeda
Ulipokuw umeitwa hotelini ukavua pichu ulituomba ushauri?c uliachia tu?ulipompigia wa pili ulitushirikisha?ulivyokuwa mnashauriana amwage wapi ulitushirikisha?una matatizo ndio unayaleta humu tukushauri?uliyekula naye mboga ule naye ugali mkavu,unatafuta nini wanaume wa tatu?au hyo papuchi yko ni nidiketa ina washa kila saa?Ushauri ukiwa na watatu wa nyumbani mpe papuchi hawa wa nje wape mini kabang!Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Ulipokuw umeitwa hotelini ukavua pichu ulituomba ushauri?c uliachia tu?ulipompigia wa pili ulitushirikisha?ulivyokuwa mnashauriana amwage wapi ulitushirikisha?una matatizo ndio unayaleta humu tukushauri?uliyekula naye mboga ule naye ugali mkavu,unatafuta nini wanaume wa tatu?au hyo papuchi yko ni nidiketa ina washa kila saa?Ushauri ukiwa na watatu wa nyumbani mpe papuchi hawa wa nje wape mini kabang!
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Duh sasa yuko nae wa nini....haoni kama atamuumiza ukute jamaa wa arusha anampenda huyu binti sjui itakuwaje.namaanisha huyu dada hampendi wa arusha
nikumuacha hamna namnaDuh sasa yuko nae wa nini....haoni kama atamuumiza ukute jamaa wa arusha anampenda huyu binti sjui itakuwaje.
[emoji3][emoji3] awe makin tu asije geuzwa buchanikumuacha hamna namna
Heheheheh ugwadu on point haaha kuna wanawake wanajiweza kabsaaNa wewe una kiranga sana , umeshasex na mume wa mtu kwa nini umpigie tena mpenzi mwingine siku hiyo hiyo? hivi kusema hujui mzunguko wako wa mwezi na siku za hatari?
Tunafanya kampeni ya kupunguza single mama lakini naona ndiko unakoelekea.
cha kufanya tulia kwanza uzae baadaye angalia mtoto anafanana na nani? mpe mtoto