Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

wengi hasa wenyeji wanakimbia hiyo nchi kwasababu ya baridi kali
 
Wasiliana na mke wa Dr Slaa yupo huko Canada.
 

Panga kuonana na nabii Lema Kwa mawaidha. Canada huko huyo mwamba anawashauri hadi Mambuzi sembuse mkuu?
 
Siwezi kuishia airport kwasababu nina strong reason ya kuingia, na nimelipia kila kitu, issue ni kuwa nikisha maliza hiyo event ndiyo nazamia.
Utamharibia Diamond ,wewe itakuwa unafuatana na Mond kwenye show.
 
Bei Elekezi wewe ukifika kabla visa yako haija expire ingia kwenye website ya serikali ya canada na mjimbo yake kuna offer za kazi kwa ajili ya wageni ukipata kazi inakuwa rahisi kupewa work permit.. yani kuna options kibao as long as umeingia canada kwa hiyo huna haja ya kuzamia pambana upate kibali uishi kwa rahaa .
 
Yah watu wanatumia fursa,kama ishu ya Museveni ile ni fursa Kuna wahuni wataitumia kuingia ulaya na marekani,maana inajulikana
 
Utamharibia Diamond ,wewe itakuwa unafuatana na Mond kwenye show.
Analeta mambo ya band gani sijui msondo au twanga pepeta walivyoenda tour mambele wakataka kuzamia ,wakadakwa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nimepanga kufanya hivyo ila ikitokea miezi 6 inepita bila kupata permit, sirudi tena.
 
Maneno yako ya mwisho yamenichekesha na kunichanganya. Kwahiyo wanafanyaje fanyaje? ๐Ÿคท๐Ÿปโ€โ™€๏ธ
Canada uta enjoy ukiwa na watoto, maana jamaa wana kodi ndefu sana, ukiwa na watoto unaweza usihisi maumivu sababu ya universal health care system yao, pia elimu yao.
Huduma zao za elimu na afya ni standard nchi nzima na ni 'bure' (hakuna cha bure ndiyo maana ya ile kodi ndefu).
Unaenda hospital, unahudumiwa 'bure', mziki upo kwenye parking na fine zao, unaweza ukahisi ni gharama ya kufanyiwa operation ya kubadirishwa kichwa๐Ÿ˜€.
Ukizamia hakuna namna utaweza hata kuita kulipia uber, or chakula, yaani ukizamia ujue upo nje ya system hautapata huduma yoyote ile wala hawabishani na wew. Ndiyo maana walimwengu wanapagwaya, wanabaki wanajazana New York na Seattle.
Wa Seattle anakua anaisikia tu Vancouver kuwa ipo just across the border huku wa Minnesota, Michigan, Ohio, Pennsylvania, na New York wanakua wanaichungulia tu Ontarior lakini kamwe hawatamani kuvuka ili kwenda,
 

Mkuu, sio kazi yangu kujua sexual orientation za watu wala sitaki kujua. Kama mtu kaamua kuomba asylum kwa njia hiyo ili kupata nafuu ya maisha then by all means they should go for it so long as hawamdhuru mtu mwingine in th process. Kuna watu wanaua, wanaiba, kuna mafisadi wanakomba hela za kujenga mahospital huko na bado tunaona hao ni wema kuliko mtu aliyeamua kujiita shoga ili apate nafuu ya maisha yake na familia yake ilhali ndani ya nafsi yake sio shoga. I don't see anything wrong with that.

Wanawake wanaomba asylum kwa kigezo cha female genital mutilation. Roma kaomba kwamba alitekwa. Lema political asylum. Wengine religious asylum etc etc. At the end of the day asylum haiandikwi ulipewa kwa sababu gani exactly, so wote mnakua in the same spectrum.

Kama mtu hana sababu nyingine na kaona aseme yeye ni shoga kama kipindi kile cha Makonda aombe. I have no problem with that. But again to each their own.
 
Sema mashoga Yana fursa nyingi sana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kama wale wakina James delicious ulaya wakiamua kwenda wanapata permit kabisa za kuishi
 

Hizi story mnazitoa wapi!



 
Roma aliitumia fursa ya kutekwa vizuri sana,mini centrozone itakuwa akuamua tu kuishi nje ila angesepa au kuomba hifadhi nchi yoyote ni angepata
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba mwamba alaliwa chocho
 
Nimepanga kufanya hivyo ila ikitokea miezi 6 inepita bila kupata permit, sirudi tena.
utapata cha muhimu ujue kucheza na muda pia usichague kazi ata dish washer ni kazi ๐Ÿคฃ, alafu kazi za saidia fundi wanalipa vizuri kweli,ukiweza usome short coz kama red cross, certified nurse zinakuwa ni wiki nne au sita ili upate kazi za kutunza wazee
 
Roma aliitumia fursa ya kutekwa vizuri sana,mini centrozone itakuwa akuamua tu kuishi nje ila angesepa au kuomba hifadhi nchi yoyote ni angepata
Roma anasubiri miaka yake minne ifike aanze mchakato wa kuivuta familia yake (Re-Unification Program)
 
Sijui hata kama unaelewa au umedandia tu hiyo comment hapo ulipoikuta.
Kwanza unajua maana ya asylum seeker?
Unaonekana hata maana yake hauijui

Sijui ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ