Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

Pole sana mkuu kwa madhira hayo, ninashawishika kusema kwamba kweli yawezekana umetekwa tayari na ulimwengu wa kiroho na sasa wanakutumikisha...ni vizuri umenena, kama hauendi kazini, naomba ufunge kwa siku 3, fanya hivyo huku ukisoma neno, ukiomba na kusali...Mungu atakusaidia..unaweza kuniona pia inbox nikuunganishe na kikundi chetu cha maombi, ukiwa na Imani basi utapona.
 
Huyo ni mgonjwa

Anahitaji kuonana na mtaalam wa afya ya akili na apewe dawa
Unaweza Kuniambia ni aina gani ya ugonjwa unahisi atakuwa nao???

Na kwanini unahisi na kuamini hiki alichokisema ni kama hakiwezekani kumtokea??

Unajua ni asilimia ngapi ya ulimwengu usio onekana una take place kwenye maisha yetu ukilinganisha na unaoonekana???
 
😂😂😂😂
Dunia ina comedy nyingi sana sasa wewe ulitaka kujalibu mambo yakichawi?
Moja yakanuni za siri zamambo ya giza au rohoni hua nisiri nzito naunapo ingia kutafuta hayo usijalibu ingia mzima mzima vinginevyo utapata maswaibu makubwa.
Hii ndio maana walio ingia kwenye uchawi haswa nabaadae kuasi hawawezi kua salama kwanamna yoyote ile hata ukimuona kama kaokoka au swala5 jua umri wake nimfupi sana.
Hizo ninguvu kubwa zinazo uendesha ulimwengu nandio ulimwengu wenyewe.
 
Back
Top Bottom