Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

Hiko kitanu ulikitafuta kwa ajili ya nini...? Nani alikuelekeza usome hiko kitanu...? Ulisoma tu ukaanza kuona hayo mambo au kuna vitu ulifanya kwa kufata maelekezo kwenye hiko kitabu...?
 
Yaani usome tu kitabu halafu kikuonyeshe mambo? Kimekuwa Jumanji sasa 😄
Ila wao hawakuingiliwa
Yaani story za u diddy zimezidi siku hizi
Lengo lote ndio lilikuwa hilo
 
hicho kitabu hakijawekwa au yamekukataza
 
Hiko kitanu ulikitafuta kwa ajili ya nini...? Nani alikuelekeza usome hiko kitanu...? Ulisoma tu ukaanza kuona hayo mambo au kuna vitu ulifanya kwa kufata maelekezo kwenye hiko kitabu...?
Nitaweka mkione wote, kwa ulimwengu wa kiroho unaweza kutumika vizuri ama kutumika vibaya, kumbuka spirits are spirits, wa mwanganza au giza. Inategemea sana vile unatumika kwao, kuna watu wanatumia ulimwengu wa giza na wanafaidika sana, bila matatizo...
 
kufuate maelezo iliyoandikwa ndani, mara ya kwanza kwanza nilikua spat shida ila kwa sasa ndio mambo yanazidi kubadilika na kua mbaya zaidi!
Nn ulifanya, labda kama hukumbuki kusoma kitabu pekeyake haitoshi
 
mshana junior
 
Hujajibu swali langu kama nilivyokuuliza. Nijibu kiufasaha tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…