Mwambie ukweli doctor huko ulipo Ulaya kua hujapata bangi uliokua umezoea huko Kenya.Walikua wananilazimisha sana kubadilisha dini kua mwislamu kisha ati nirudi Africa na kuolewa na mwafrica na kuzaa mtoto wa kiafrika, yaani hawa wanafanya balaa sio mchezo. Usiku ikifika wanakupiga macho inakaa kavu hadi asubuhi kisha mchana kutwaa usingizi inajaa kwa kichwa. Kitovo walinifunga sijui nini humo naliwa sana usiku