Nimependa jinsi kocha wa Yanga anavyoyachukulia mashindano ya Mapinduzi

Angemtumia na kocha wa Yanga B na wa akiba ili wakashiriki hayo mashindano kama hayamuumizi kichwa.
 
Ukifungwa 7+ kwenye Mapinduzi unapata hasara ipi? Huu ni muda wa wachezaji wengine kupumzika. Hawana umuhimu wa kupoteza nguvu zao kwa mashindano ya kipuuzi.
Simba na Yanga hazina game ndogo Wala kubwa siombei ila ngoja akosee afungwe huko mapinduzi na Simba uone kama hali itakuwa sawa
 
Hata simba hivyohivyo, ni sehemu ya mazoezi tu ukizingatia club zipo likizo,hivyo huna jipya
 
Matokeo ya mechi kwenye michuano ipi?
Kwan walipeleka team kualikwa hawana akili ila wewe ndio mwenye akili???Hapa ndipo ninaposemaga Manara alikuwa sahihi
 
Ole MIIBA 5 imewauma sana akina Mr. Zero
 
Shirikisho ni kombe kubwa, linatambulika na FIFA na CAF. Mapinduzi ni bonanza au hulijui hilo? Ni mashindano ya kisiasa hayo kuenzi uhuru wa Zanzibar.
Makombe makubwa ni makombe yanayotambulika na FIFA ( kwa ngazi ya ndani ni ligi kuu na FA)
Kwahiyo mkichukua kombe zawadi ya mshindi wa kwanza mtawapa chama cha siasa au mtaimarisha timu?
 
Kwani Unaumia gongowazi?
 
Gamondi na squad yake wameaga mashindano. Wanabakia wenye Mapinduzi yao sasa waendelee na Mapinduzi yao.
 
Kwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya
Kila mwaka huwa hivi...sio mwaka huu ndio ilivyooo
 
Kaisha alivyoyachukulia ndivyo alivyoyokq
Kombe la pili analikosa hili..
1.Ngao ya jamii
2.Mapinduzi Cup
 
Kaisha alivyoyachukulia ndivyo alivyoyokq
Kombe la pili analikosa hili..
1.Ngao ya jamii
2.Mapinduzi Cup
Ngao ya jamii ndio alilolikosa kwasababu inaingia kwenye record za trophies ila Mapinduzi ni Bonanza halina maana yeyote. Makombe ya maana ya ndani yamebakia mawili ligi kuu na Azam federation
 
Ngao ya jamii ndio alilolikosa kwasababu inaingia kwenye record za trophies ila Mapinduzi ni Bonanza halina maana yeyote. Makombe ya maana ya ndani yamebakia mawili ligi kuu na Azam federation
Hilo hilo mapinduzi cup linaongeza thamani
 
Halina thamani, mkuu. Angalia profile za timu ya Yanga, huwezi Kuta ni bingwa wa Mapinduzi mara ngapi. Hiyo ni bonanza na ndio maana mchezaji anaruhusiwa kufanya majaribio hata kama hajasajiliwa.
Okay
 
Wabongo wanaangaika hadi kwa Mapinduzi, mchezaji anakaa jukwaani halsfu anaingizwa sub. Hili ni bonanza tu ila watu wanaumia utafikiri ni mashindano ya maana
 
Ni suala la muda tu wakina pacome kuwasili mjini zanzibar
Hakuna Pacome, Aucho, Yao wala Max. Max alichesha geresha mechi moja tu tena kipindi cha pili baada ya hapo kaendelea na mapumziko yake. Mmeachiwa mlio serious na mashindano mchukue kombe lenu la mapinduzi
 
Kwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya
Kuna wakati mashindani yalichezwa na ligi inaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…