Vita ya mali lazima na watatangulizana wengi na biashara zote zitakufa.!Vita ya Mali inanukia.....
Wahaya sasa..!!!Simple tu
Alizaliwa.....1
Akafanya biashara na kuwa tajir......2
Akaoa na kuzalisha......3
Akafa kwa ajari....4
Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Najaribu kuwaza matajili wa kike nao ni wapiga mkojo..?? Au basiii..!!!Wake wa3, watoto 16.. Legend kabisa.
Ukiwa na hela kinachofata ni kupiga MKOJO tu, duniani hakuna starehe kubwa zaidi ya kupiga MUCHINGA.
Hapo kwenye wake 3 shuguli ndiyo ikatapo anziaVita ya Mali inanukia.....
Mpaka Leo sijapata cha kugombaniwa pale nitakapo kufa.....nawaza labda ile suti yangu ya laki mojaVita ya Mali inanukia.....
Zaeni mkaijaze nchiFamilia
Alifanikiwa kuoa wake watatu na kupata watoto 16, wa kike 7 na kiume 9.
Hahahaha π π π πSimple tu
Alizaliwa.....1
Akafanya biashara na kuwa tajir......2
Akaoa na kuzalisha......3
Akafa kwa ajari....4
Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Ndio tunapiga....
Huo ni wasifu ama CV?Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya
Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)
Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani.
Familia
Alifanikiwa kuoa wake watatu na kupata watoto 16, wa kike 7 na kiume 9.
Kufariki: August 04, 2024-Ajali ya gari
Pia, soma=> Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia