Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Mimi ni muhanga naelewa jirani, tena hizi kabila za kaskazini ni hatari kwenye mali unaweza kuiaga dunia km masihara.!!
Huko Mbeya watashinda wanarogana mpk wengine wawe vichaa.!
Bibi yangu aliwahi niambia mtu akishakufa kama hakusema hakuna atakaeweza kitakachofuata ni vita, kulogana.
 
Wasifu mfupi wenye kueleweka lakini ulioacha Milioni za kutosha kwenye akaunti.

Sio sisi wengine una CV ndefu yenye Vyeti/PE/CPA/PROF/Shahada na PhD za kutosha lakini hata nyumba unakuta unaishi ya Serikali.

Ukifa tu ndiyo Siku hiyo hiyo familia yako inaondolewa ili aje aishi Kiongozi mwingine 🙌
Una access na akaunti zake!
 
Simple tu
Alizaliwa.....1

Akafanya biashara na kuwa tajir......2

Akaoa na kuzalisha......3

Akafa kwa ajari....4

Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya

Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)

Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani.

Familia
Alifanikiwa kuoa wake watatu na kupata watoto 16, wa kike 7 na kiume 9.

Kufariki: August 04, 2024-Ajali ya gari

Pia, soma=> Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Walioanza elimu ya msingi 1988 hawakumaliza 1995
 
Back
Top Bottom