Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Simple tu
Alizaliwa.....1

Akafanya biashara na kuwa tajir......2

Akaoa na kuzalisha......3

Akafa kwa ajari....4

Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Dadeki,ujue kuchimba madini Kuna mambo kibao,huyo alianza.pamoja na dogo langu mmoja Yuko huko Chunya mawe kama yote ni mambo mengi,kila mtu ashinde mechi zake. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.
 
Watu wanaangalia nnje ya box ila ndani ya box kuna siri kubwa sana utajili haukai kwa watu wenye roho zaifu
 
Mwanaume akiwa na pesa mwanamke hata ukiolewa mke wa 7 haina shida.!!
Hapo sasa kitimtim km hajaandika mirathi kazi ipo!!
Wataondoka watu wengi kumfata marehemu alikoenda.!
Mwisho ndo inakuwa Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani. Mitala inateseka pindi la kutokea likitokea
 
Simple tu
Alizaliwa.....1

Akafanya biashara na kuwa tajir......2

Akaoa na kuzalisha......3

Akafa kwa ajari....4

Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Wasifu wa wahaya
 
Haya chukua nyingine tuchome
 
Back
Top Bottom