Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Kama pesa ipo na management ipo vyema, unakula na kushiba vizuri shida nini
Hakuna shida
Ujinga maradhi haswa afya ya akili na umasikini wa fikra uliotopea ndio hasa mtu anaweza kutoa maoni kama hayo.
Pole sana punguza idadi ya watoto
Kuwa na watoto wengi ni upumbavu hawana faida yoyote zaidi ya kuoneana wivu
 
Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya

Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)

Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani.

Familia
Alifanikiwa kuoa wake watatu na kupata watoto 16, wa kike 7 na kiume 9.

Kufariki: August 04, 2024-Ajali ya gari

Pia, soma=> Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Mwana alikuwa na hobby ya kufyatua.. Apumzike kwa amani
 
Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya

Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)

Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani.

Familia
Alifanikiwa kuoa wake watatu na kupata watoto 16, wa kike 7 na kiume 9.

Kufariki: August 04, 2024-Ajali ya gari

Pia, soma=> Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Jamaa mmoja simple sana..
Simjui lakini wanao mjua wafanya biashara wenzake wame huzunika sana..
 
Simple tu
Alizaliwa.....1

Akafanya biashara na kuwa tajir......2

Akaoa na kuzalisha......3

Akafa kwa ajari....4

Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
Nyoko kabisa 😂😂😂 ameishi kifala sana marehemu😂
Anyway ndo wasomi wetu wa siku hizi bao
 
Back
Top Bottom