Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Simple tu
Alizaliwa.....1

Akafanya biashara na kuwa tajir......2

Akaoa na kuzalisha......3

Akafa kwa ajari....4

Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
𝐸𝑒𝑒𝑒𝑒𝑒
 
Bahati mbaya sana mtu akifa huondoka na habari zake...

Wanaorefusha wasifu labda hufanya hivyo kwa nia ya kujifariji, kutoa funzo kwa waliobaki hai n.k
 
Wasifu mfupi wenye kueleweka lakini ulioacha Milioni za kutosha kwenye akaunti.

Sio sisi wengine una CV ndefu yenye Vyeti/PE/CPA/PROF/Shahada na PhD za kutosha lakini hata nyumba unakuta unaishi ya Serikali.

Ukifa tu ndiyo Siku hiyo hiyo familia yako inaondolewa ili aje aishi Kiongozi mwingine 🙌
Wasifu Mfupi Pesa Nyingi.
 
Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana
Umasikini umekufanya uwatii watu weupe na kutudharau SISI WATU WEUSI.
Yaani UKWASI huo woooote awe na watoto watatu eti kisa tu akufurahishe wewe na hao watu weupe?

Mapori yapo mengi ya kuishi hata kama utashindwa kuwasomesha kwenye BURE ELIMU huko?
 
Wasifu mfupi wenye kueleweka lakini ulioacha Milioni za kutosha kwenye akaunti.

Sio sisi wengine una CV ndefu yenye Vyeti/PE/CPA/PROF/Shahada na PhD za kutosha lakini hata nyumba unakuta unaishi ya Serikali.

Ukifa tu ndiyo Siku hiyo hiyo familia yako inaondolewa ili aje aishi Kiongozi mwingine 🙌
Viongozi wakitafakari haya ndio sababu ya kuchukua mpunga mrefu asiiache aibu
 
Nyambafu sana......kuzaana kuna shida gani, Haya ndo yanajiita masomi eti, ndiyo kazaa sana wewe unamzidi nn uliye na mtoto mmoja.....hvi unajua ukubwa wa Tanzania wewe mpaka uone kuzaana si jambo sahihi
Ukubwa wa Tanzania unakuhusuje kapuku ambaye huna hata hatua mbili za kipande cha ardhi??
 
Natural ecosystem ita balance yenyewe kwani kuna kiumbe anaeishi milele!!?

Huoni nuclear family plus family planning inavyosababisha Aging population kwa mataifa ya ulaya !!?Hadi wanalegeza masharti kwa wahamiaji ili ku balance population!!?

Dunia haiwezi jaa ila Kuna uwezekano wa mkubwa wa kizazi kupotea kwa family planning plus nuclear family!
Dunia ina watu bilioni 8, hao ni wengi sana,.aging population ni propaganda za watu wanaotafuta cheap labour.
 
Back
Top Bottom